Admin

Guterres inataka kuimarisha multilateralism katika anwani kwa Shirika la Ushirikiano wa Shanghai – Maswala ya Ulimwenguni

Bloc ya Eurasian, inayojumuisha nchi wanachama 10, ndio shirika kubwa zaidi ulimwenguni na idadi ya watu na jiografia. Bwana Guterres aliwaambia viongozi kwamba “tunaelekea kwenye ulimwengu wa anuwai”, ambayo ni ukweli na fursa. Alisema uchumi unaoibuka ni biashara ya kufanya kazi tena, diplomasia na maendeleo lakini wakati huo huo, ukosefu wa haki na mgawanyiko unaongezeka….

Read More

Sakata La Muuguzi Kibondo Mganga Mkuu Wa Serikali Atoa Tamko – Global Publishers

Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe amewatoa hofu wananchi juu ya picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha Muuguzi na Askari wakivutana katika Hospitali ya Halmashauri ya Kibondo huku ikidaiwa askari kuvamia chumba cha kujifungulia, jambo ambalo amesema sio kweli na likiwa na nia ovu ya kuichonganisha Serikali na wananchi. Dkt. Magembe ametoa ufafanuzi huo…

Read More

Jamhuri iko freshi, meneja aita mashabiki

Zikiwa zimebaki takriban wiki mbili na ushei kabla ya kurejea kwa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Jamhuri uliopo mjini Dodoma upo tayari baada ya awali kufungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutokana na matatizo mbalimbali. Meneja wa uwanja huo, Hussein Muhondo amesema dimba hilo ambalo linatumiwa na Dodoma Jiji limeshafanyiwa marekebisho na kwamba kwa…

Read More

Simba na rekodi ya ajabu Cecafa Kagame Cup

LICHA ya kutoshiriki fainali za Cecafa Kagame 2025, Simba inashikilia rekodi mbili kwa wakati mmoja ikiwa ni timu iliyotwaa mataji mengi zaidi na ndiyo iliyopoteza mechi nyingi zaidi za fainali katika mashindano hayo. Wekundu hao wa Msimbazi wametwaa taji mara sita miaka ya 1974, 1991, 1992, 1995, 1996 na 2002 na kuwafanya kuwa timu yenye…

Read More

Tabora United yatangulia nusu fainali kwa kishindo

USHINDI wa mabao 4-0 ilioupata Tabora United dhidi ya Eagle FC, umeifanya timu hiyo kufuzu nusu fainali ya mashindano ya Tanzanite Pre-Season International. Tabora United imetinga nusu fainali kufuatia kukusanya pointi sita kwenye Kundi A lenye timu tatu baada ya kushinda mechi zote mbili. Katika mchezo uliofanyika leo Septemba 2, 2025 kwenye Uwanja wa Tanzanite…

Read More