Mzee wa sarakasi aiacha solemba ACT -Wazalendo, arejea CCM
Mbulu. Mgombea ubunge wa Mbulu Vijijini mkoani Manyara kwa tiketi ya ACT – Wazalendo Flatei Massay amekiacha solemba chama hicho na kurudi CCM. Massay ambaye amekuwa mbunge wa Mbulu Vijijini kwa miaka 10 mfululizo, alihama CCM baada ya jina lake kukatwa na kutoshiriki kura ya maoni kuwani kipindi cha tatu. Baada ya kujitoa CCM Massay…