HIVI NDIO DKT NCHIMBI ALIVYOWASILJ MKOANI SIMIYU KUSAKA KURA ZA KISHINDO
MGOMBEA Mwenza wa kiti cha urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na Wananchi wa wilaya ya Busega,wakati alipokuwa akiwasili katika uwanja wa shule ya Msingi Mkula,Busega mkoani Simiyu kuanza mikutano ya Kampeni katika mkoa huo leo Jumatatu Septemba 1,2025. Dk.Nchimbi alikuwa mkoa wa Mara na sasa ameingia mkoa…