Jiji la Arusha kuanzisha Mahakama maalumu ya kodi
Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imepanga kuanzisha Mahakama Maalumu ya Jiji, itakayoshughulikia kesi za walipa kodi na ushuru wanaokwepa au kukwamisha ukusanyaji wa mapato, ili kuharakisha uendeshaji wa mashauri na kuongeza ufanisi wa mapato ya ndani. Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, John Kayombo, amesema hayo jana Jumamosi, Agosti 30, 2025, katika hafla ya kuwapongeza…