Ahadi za Samia kwa wananchi wa Chamwino
Chamwino. Mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kumaliza changamoto zote za huduma za kijamii katika Jimbo la Chamwino kwa kile alichoeleza kuwa “Jimbo la Rais halitakiwi kuwa na changamoto zozote.” Samia ametoa ahadi hizo leo Jumapili, Agosti 31, 2025, Chamwino mkoani Dodoma, ikiwa ni kituo chake cha kwanza cha kampeni…