KKKT Usharika wa Forest Mbeya kwafukuta, gari la kwaya kuu latajwa
Mbeya. Mgogoro umeibuka katika Kanisa la Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKT) Dayosisi ya Konde Usharika wa Forest jijini Mbeya baada ya waumini kupinga uamuzi wa kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi wao na Kwaya Kuu. Imeelezwa kuwa Novemba mwaka jana, 2024, kanisa hilo lilipokea waraka kutoka jimboni kutaka kupunguzwa idadi ya Kwaya ndani ya…