ACT-Wazalendo, Monalisa wavutana | Mwananchi
Dar es Salaam. Wakati uongozi wa tawi la ACT-Wazalendo la Mafifi mkoani Iringa, ukitangaza kumfuta uanachama kada wake Monalisa Ndala, yeye ameibuka akipinga hatua hiyo. Monalisa amepinga hatua hiyo akibainisha kuwa yeye bado ni mwanachama hai wa ACT-Wazalendo tawi la Kibangu, wilayani Ubungo, mkoani Dar es Salaam na siyo Mafifi kama ilivyoainishwa katika barua ya…