Zaidi ya nusu ya Watanzania wanapenda huduma za tiba asili
Dodoma. Asilimia 60 ya Watanzania wanatafuta tiba za asili, ingawa hakuna utafiti zaidi unaoeleza iwapo kundi hilo linatoka vijijini au ni wananchi waishio mijini, imeelezwa. Takwimu hizo zimetolewa leo Ijumaa Agosti 29, 2025 na Dk Ahmad Makuwani, Mkurugenzi wa Huduma za Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto kutoka Wizara ya Afya. Dk Makuwani amesema Serikali…