Samia: Morogoro ya viwanda inarudi
Morogoro/Mwanza. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea na kampeni kikiahidi kuirejeshea Morogoro hadhi yake ya kuwa mkoa wa viwanda, huku ikieleza itakachowafanyia wananchi wa Mwanza. Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 29, 2025 akiwa mkoani Morogoro ameahidi kuurejesha katika hadhi yake kama mkoa wa viwanda ili kuibua fursa nyingi za ajira kwa…