Madhara ya kubana haja ndogo muda mrefu
Dar es Salaam. Je, una tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu yani kuanzia saa tatu na kuendelea? Unajua ni kwa namna gani tabia hiyo ni hatarishi kwa afya yako na mfumo wa utoaji takamwili kwa ujumla? Baadhi ya watu hubana mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo kutokuwa katika mazingira rafiki ya…