
JAMIIFORUMS YAFUNGIWA KWA SIKU TISINI
:::::: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 90 leseni ya huduma za maudhui mtandaoni iliyokuwa inamilikiwa na kampuni ya Vapper Tech Limited, wamiliki wa jukwaa maarufu la JamiiForums, baada ya tuhuma za kuchapisha maudhui yanayodaiwa kupotosha na kudhalilisha viongozi wa Serikali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 6, 2025 na…