Omary achekelea kurudi nyumbani | Mwanaspoti
BAADA ya kuanza kuitumikia Mashujaa kwa mkopo akitokea Simba, kiungo Omary Omary amefurahia kurudi nyumbani na kukutana na ushindani mkubwa akiamini kwamba amefanya uamuzi sahihi kurejea katika timu hiyo aliyoichezea kabla ya kutua Msimbazi msimu uliopita. Omary amefunguka hayo siku moja baada ya timu yake kuambulia suluhu dhidi ya Al Hilal katika mechi ya kirafiki…