Bali kortin akidaiwa kughushi wosia, akana shtaka
Dar es Salaam. Mkazi wa Pangani mkoani Tanga, Hamisi Bali amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja ya kughushi wosia. Bali amesomewa shtaka hilo leo Agosti 28, 2025 na wakili wa Serikali, Tumaini Mafuru, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube Akimsomewa shtaka, wakili Mafuru amesema Bali anadaiwa kutenda kosa hilo Februari…