VYAMA 17 VYAREJESHA FOMU ZA KUTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI
Na Mwandishi Wetu. VYAMA 17 vyama vilivyochukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Kigamboni vimerejesha fomu hizo na tayari zimebandikwa ili ziweze kukaguliwa na kama kutakuwa na upungufu wagombea wanaweza kuwekewa pingamizi. Aidha, wagombea wote wameteuliwa kugombea nafasi hiyo kwa hatua ya kuanza kampeni, kama hakutakuwa na pingamizi kwa wagombea yeyote…