Chuo cha FDC chaonyesha faida za miaka minne ya kutumia nishati safi
Rombo. Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mamtukuna (FDC) wilayani Rombo ni miongoni mwa taasisi zinazotekeleza mkakati wa Serikali wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, hatua inayolenga kulinda afya na mazingira. Chuo hicho chenye wanafunzi 460 kilianza kutumia gesi ya LPG mwaka 2021, baada ya kubaini madhara yaliyokuwa yakiwapata wahudumu wa jikoni kutokana na…