WADAU WAKUTANA KUJADILI UTEKELEZAJI MALENGO YA SDGs
NAIBU Katibu Mtendaji Tume ya Mipango Dkt. Lorah Madete,akizungumza wakati akifungua Warsha ya Jukwaa la kitaifa ya kuimarisha utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu (SDGs) lililowashirikisha wadau kutoka Serikalini na asasi za kiraia lililofanyika leo Juni 28,2024 jijini Dodoma. Mchumi Mwandamizi kutoka Ofisi a Rais – Tamisemi. Idara ya Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bi….