Ujerumani chini ya shinikizo la wakimbizi wa Ukraine – DW – 28.06.2024
Akizungumza katika mahojiano na gazeti moja la nchini hapa mwishoni mwa wiki, kiongozi wa kundi la wabunge wa chama cha Christian Social Union, CSU Alexander Dobrindt, alisema baada ya zaidi ya miaka miwili ya vita wa Ukraine sasa wanapaswa kufuata kanuni ya kutafuta kazi nchini Ujerumani au warudi kwenye maeneo salama magharibi mwa Ukraine. Wizara…