Simu ya Popat ilivyomrudisha Adam Adam Azam FC
STRAIKA Adam Adam tayari ametua Azam FC kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano mbalimbali ya Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika, Kombe la Shirikisho la FA na mengine itakayoshiriki klabu hiyo tajiri zaidi Tanzania. Kama kuna mambo ambayo alitamani yatokee na sasa anachekelea, ni kurudi Azam baada ya kuishia timu ya vijana ya…