Chama la Wana lasaka makocha
BAADA ya kubaki Ligi ya Championship na kuachana na kocha wake, Seleman Kitunda mwishoni mwa msimu, Klabu ya Stand United inasaka kocha mkuu mpya na kocha wa makipa ili kuboresha benchi lake la ufundi na kufanya vizuri msimu ujao. Timu hiyo yenye maskani yake mkoani Shinyanga ilinusurika kushuka daraja kutoka Championship baada ya kushinda mchezo…