WADAU SEKTA YA UJENZI WAJENGEWA U UWEZO KUKABILIANA NA MIGOGORO KWA NJIA RAFIKI
Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) imejipanga kupunguza migogoro katika sekta ya ujenzi kwa kuwajengea uwezo wadau mbalimbali jambo ambalo litasaidia upatikanaji wa suluhishi kwa kutumia njia rafiki inayotoa fursa kwa pande mbili kuelewana bila kwenda Mahakamani. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati akitoa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wa…