Lina PG Tour: Vita ya fimbo yahamia Arusha
WAKALI 38 wanatarajiwa kuchuana katika mashindano maalumu ya kumuenzi Lina Nkya ya Lina PG Tour, kwenye viwanja vya Gymkhana, jijini Arusha, Julai 11 hadi 14, mwaka huu. Mashindano haya yanayoingia raundi ya tatu kati ya tano, yanamuenzi nyota huyo ambaye enzi za uhai wake alifanya kazi kubwa ya kuilea gofu ya wanawake kwa mafanikio hadi…