DNA ya damu kwenye jambia yafanana na mate ya mshtakiwa wa tatu kesi ya Milembe
Geita. Vipimo vya vinasaba vilivyofanywa na ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali vimebaini kuwa mpanguso (swab) wa damu kutoka kwenye mpini au mshikio wa jambia lililotumika kumuua Milembe Suleman (43) ina uhusiano na mpanguso wa vinasaba vya mate vya mshtakiwa wa tatu Genja Pastory. Katika kesi hiyo, ushahidi uliotolewa leo Jumatano Juni 26, 2024 na…