
Gomondi: Hii Singida bado sana!
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema licha ya ushindi wa timu hiyo wa mabao 2-1 dhidi ya Kenya Police katika mashindano ya Kombe la Cecafa Kagame, bado kuna maeneo muhimu ambayo timu inahitaji kuboresha ili kuwa bora zaidi. Gamondi ambaye anatumia mashindano hayo kama sehemu ya maandalizi ya msimu ujao, alisema mechi hiyo…