KLINIKI YA USHAURI NA ELIMU YA KISHERIA KWA UMMA YAZINDULIWA JIJINI DODOMA
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa kliniki ya ushauri na elimu ya kisheria kwa umma inayokusudia kusogeza huduma za sheria karibu na wananchi iliyozinduliwa leo Juni 26,2024 katika Viwanja vya Nyerere Square jijini Dodoma. MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Dk. Eliezer Feleshi,akizungumza na wananchi wakati…