Zelensky atembelea Donetsk eneo la mstari wa mbele la vita – DW – 26.06.2024
Rais waUkraine Volodymyr Zelensky, leo Jumatano amesema amekwenda kwenye mkoa wa Donetsk wa mashariki mwa Ukraine, eneo lililo mstari wa mbele wa vita. Zelensky alijadili na makamanda wa ngazi za juu kuhusu hali ya kijeshi na kibinadamu. Makamanda hao ni pamoja na Kamanda Mkuu wa majeshi Oleksandr Syrsky, na Kamanda mpya wa Vikosi vya Pamoja, Jenerali…