‘Gen Z’ wanavyovaa viatu vya Raila kumshughulikia Rais Ruto Kenya
Generation Z (Kizazi Z) ni kundi rika lenye kuhusisha watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1996 mpaka 2010. Mwenye umri mkubwa zaidi kutoka Generation Z ana miaka 28 na mdogo kabisa miaka yake ni 14. Wakati mwingine, Generation Z huitwa Zoomers. 2024 ni mwaka ambao waliozaliwa mwaka 2006 wanatimiza umri wa miaka 18. Ni sawa kusema walioliona…