Serikali yajitwisha kero za mabaharia Tanzania
Bagamoyo. Serikali ya Tanzania imesema itazifanyia kazi changamoto na fursa zinazowakabili mabaharia nchini. Miongoni mwa changamoto hizo ni nyenzo dhaifu za kusimamia mambo ya bahari yaani mbinu zisizo za wazi na zenye kuakisi wakati uliopo. Ukosefu wa sera na kanuni za ajira za ubaharia na kuwepo kwa mifumo kandamizi za uwajiri wa mabaharia hususan katika…