Nahodha wa Real Madrid Nacho atangazwa kuondoka klabuni humo – DW – 25.06.2024
Mabingwa wa Ulaya, Real Madrid wamemtangaza nahodha Nacho kuondoka kwenye klabu hiyo kwenye majira haya ya joto. Beki huyo ataondoka Santiago Bernabeu huku kukiwa na uvumi kuwa yuko tayari kujiunga na klabu ya Saudi Pro League Al Qadsiah mkataba wake utakapoisha. Soma zaidi. EURO 2024: Italia wailazimisha Croatia sare 1-1 huku Albania ikifungwa na Uhispania Mchezaji…