FURSA YA ELIMU YA FEDHA YAWAFIKIA WANANCHI SHINYANGA.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Prof. Siza Tumbo, akizungumza na watalamu wa kutoa elimu ya fedha kutoka Wizara ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania (BoT), na watumishi wengine wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, walipofika ofisini kwake kumweleza lengo la ujio wao na maeneo wanayotarajia kutoa elimu ya fedha katika Mkoa huo….