Vita ya kudanki Ligi ya Kikapu Dar imehamia huku
WAKATI robo fainali ya kwanza ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) ikianza, ushindani umeongezeka tofauti na mechi za mwanzo wa msimu wa mashindano hayo. Robo fainali ya BDL imezoeleka ushindani kuwa wa kawaida, lakini mwaka huu inavyochezwa ni vita na ni kama kombe liko uwanjani. Ally Issa, kocha wa kikapu kutoka…