Matumizi ya akaunti moja Bara, Zanzibar yanukia
Dodoma. Bunge limeelezwa kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, zinaendelea na majadiliano kufikia uamuzi wa pamoja kuhusu utaratibu wa kudumu wa kuchangia matumizi na kugawana mapato ya Muungano. Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande leo Jumatatu Juni 26, 2024 wakati akijibu swali la msingi la Mbunge…