Mke aliyefiwa na mume, watoto watatu ajali ya moto aruhusiwa kwenda kuzika
Arusha. Leo ni siku nyingine ngumu kwa Jasmine Khatibu, aliyefiwa na mume pamoja na watoto wake watatu katika ajali ya moto iliyotokea Jumamosi Juni 22, 2024 jijini Arusha. Hakuna anayeweza kubashiri mama huyu atasimama vipo muda utakapowadia wa kutoa heshima za mwisho kwa wapendwa wake hao na kushuhudia maziko yao. Jasmine pamoja na mama mzazi…