RAIS WA APIMONDIA APONGEZA UZURI WA HIFADHI YA NGORONGORO; ASEMA NI UZOEFU USIOSAHAULIKA
Na Mwandishi wa NCAA. Rais wa Shirikisho la wafugaji Nyuki Duniani (Apimondia), Dkt. Jeff Petiz, ametembelea eneo la hifadhi ya Ngorongoro na kutoa pongezi kwa uongozi wa NCAA kwa jitihada za utunzaji wa hifadhi hiyo ya kipekee duniani ambayo imeendelea kuvutia maelfu ya watalii. Akizungumza kwa furaha na mshangao, Dkt. Petiz amebainisha kuwa hajawahi kuona…