Wadau waeleza ushirikiano unavyoleta maendeleo thabiti
Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa, ushirikiano baina ya sekta binafsi na umma ni nguzo muhimu ya kuhakikisha Tanzania inafanikisha Dira ya Maendeleo ya 2050, inayolenga kujenga Taifa jumuishi kidijitali, lenye uchumi thabiti, jamii yenye ustawi na utunzaji wa mazingira. Hayo yameelezwa leo Jumanne, Agosti 26, 2025 na wadau waliohudhuria uzinduzi wa Ripoti ya Ujumuishi wa…