Mnzava ataka jamii kushiriki kukomesha mauaji ya albino
Mufindi. Siku chache baada ya Serikali kutoa maagizo ya kukabiliana na mauaji ya watu wenye ualbino nchini Tanzania, Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa, Godfrey Mnzava amekemea vitendo hivyo, huku akiitaka jamii kushirikiana kutokomeza vitendo hivyo. Hivi karibuni, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa bungeni jijini Dodoma, alitaka kuendelea ubainishaji na usajili wa watu wenye ualbino…