Admin

Mmoja aliuawa, kumi kujeruhiwa na mgomo wa Kirusi huko Kharkiv.

Mtu mmoja aliuawa na wengine kumi kujeruhiwa na mashambulizi ya Urusi katika mji wa mashariki mwa Ukraine wa Kharkiv siku ya Jumapili, gavana wa eneo Oleh Synehubov alisema. “Wavamizi wamefanya mgomo kwenye miundombinu ya kiraia ya Kharkiv,” Synehubov aliandika kwenye Telegram, akiongeza kuwa mgomo huo ulionekana kutekelezwa na mabomu ya kuteleza. Urusi imekuwa ikishambulia kwa…

Read More

Watoto 374 wafanyiwa ukatili Zanzibar

Dar es Salaam.  Watoto 374 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia na udhalilishaji visiwani Zanzibar ndani ya miezi mitatu huku usiri na kumalizana kindugu ukitajwa kuwa sababu ya kuchochea matukio hayo.  Hiyo ni kutokana na watekelezaji wa vitendo hiyo kutochukuliwa hatua za kisheria jambo linalowafanya kuendelea kutekeleza vitendo hivyo sehemu nyingine.  Takwimu za ukatili wa kijinsia na…

Read More

Uchumi wa Bluu wahitaji kuwa na ushirikiano kwa Serikali mbili

*Kuna maeneo mengine ya uchumi wa Bluu hajaangaziwa Na Chalila Kibuda,Bagamoyo Waziri Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohamed amesema kuwa Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zinatakiwa kuwa na ushirikiano kwenye uchumi wa Bluu. Dkt.Khalid ameyasema katika kulekea maadhimisho na Maonesho Siku ya Mabaharia Duniani ambayo…

Read More

Huku silaha zinazotolewa na Marekani zikionyesha athari ndani ya Urusi, wanajeshi wa Ukraine wanatarajia mashambulizi zaidi.

Wiki kadhaa baada ya uamuzi wa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha zinazotolewa na Marekani kwa mashambulio madogo katika ardhi ya Urusi, nchi hiyo inafanikiwa kwa kiasi fulani kusitisha msukumo mpya wa Urusi katika eneo la kaskazini-mashariki, lakini makamanda wa kijeshi wanapigia kelele kuzuiwa kwa makombora ya masafa marefu kuondolewa. . Hali mbaya ya uwanja wa vita…

Read More

Rais wa Kenya asema yuko tayari kuzungumza na Gen-Z – DW – 23.06.2024

Maandamano hayo yaliandaliwa kwenye mitandao ya kijamii na kwa kushiriki maandamano hayo mabarabarani na vijana Wakenya wengi wenye umri mdogo maarufu kama ‘Gen-Z’ ambao wamekuwa wakipeperusha maandamano hayo moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii. Serikali ya Ruto imejikuta katika hali ya kuduwaa huku vijana hao wakiendelea kushinikiza kutoridhika kwao kuhusu sera za kiuchumi za…

Read More

Mfahamu Askofu Pisa, Rais mpya wa TEC

Dar es Salaam. Kanisa Katoliki Tanzania kupitia Baraza la Maaskofu (TEC) limetangaza viongozi wake wapya, huku nafasi ya urais ikichukuliwa na Askofu Wolfgang Pisa wa Jimbo la Lindi. Viongozi  hao waliotangazwa jana Jumamosi Juni 22, 2024, mbali na Askofu Pisa, wengine waliochaguliwa ni Makamu wa Rais, Askofu Eusebius Nzigilwa (Jimbo Katoliki Mpanda), Katibu Mkuu, Padri…

Read More

Prisons Queens matumaini kibao Ligi ya Mabingwa

TANZANIA Prisons Queens imesema mechi mbili zilizobaki katika ligi ya mabingwa wa Mikoa kwa soka la Wanawake wanahitaji ushindi tu ili kujihakikishia kupanda daraja. Ligi hiyo ambayo inafanyika jijini Dodoma, Maafande hao katika mechi mbili walizocheza wameshinda mmoja dhidi ya Zabibu Queens 2-1 na kupoteza 3-1 kwa Katoro Queens na kuwa nafasi ya pili. “Mechi…

Read More

Dar, Pwani zakosa maji kwa saa 48

Dar es Salaam. Wakati wakazi jijini hapa na Pwani wakieleza maumivu wanayopitia kwa kukosa maji kwa zaidi ya saa 48, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa) imesema tatizo limekwisha na huduma imerejea tangu saa tatu asubuhi leo Jumapili, Juni 23, 2024. Katika maeneo mengi ya Dar es Salaam na…

Read More

WAZAZI WASHAURIWA KUWAPELEKA HOSPITALI WATOTO WENYE ULEMAVU

Aisha Juma alijifungua mtoto akiwa na uvimbe shingoni, kadri mtoto alivyokua anakua, ndipo uvimbe ule uliendelea kuongezeka, awali hawakujua chanzo cha tatizo na kwamba walidhani ni ulemavu kama walivyo watoto wengine wenye ulemavu. Licha ya kuangaika huku na huko jamii ilimuona kama mtoto mwenye ulemavu na kwamba hawezi kupona hata akifanyiwa matibabu. Lakini cha ajabu…

Read More