MABAHARI KUTOKA DMI WAUNGANA NA MABAHARIA NCHINI KUFANYA USAFI FUKWE ZA PWANI BAGAMOYO
TIMU ya mabaharia kutoka Chuo Cha Bahari Dar es Salaam -DMI, Leo wameungana na mabaharia nchini kwa kufanya usafi katika baadhi ya fukwe zilizopo Bagamoyo katika Mkoa wa Pwani ikiwa ni mwendelezo wa kuadhimisha Siku ya Mabaharia Duniani. Mabaharia hao wamekuwa mfano kwa wadau mbalimbali wa tasnia ya bahari kwa kufanya usafi katika fukwe za…