Makontena 25 ya vileo yaendelea kushikiliwa bandarini
Unguja. Zaidi ya miezi mitatu sasa makontena 25 ya vileo yameendelea kushikiliwa katika Bandari ya Malindi, Zanzibar. Hatua hiyo imefikiwa baada ya Bodi ya Vileo Zanzibar kuliagiza Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC) kuzuia uingizaji wa bidhaa hizo kwa madai wahusika hawana vibali vya kuingiza bidhaa hiyo. Sakata la uingizaji pombe Zanzibar lilibuka Februari, 2024 baada…