UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA TAREHE 20 JULAI, 2024 KIGOMA
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza na waandishi wa Habari mkoani Kigoma leo tarehe 22 Juni, 2024 kuhusiana na kusogezwa mbele kwa uzinduzi wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambapo sasa utafanyika tarehe 20 Julai, 2024 mkoani Kigoma. Mwenyekiti wa Tume Huru…