Admin

‘Ondoeni kodi asilimia 2 kwa wakulima’Mbunge Cherehani

*MBUNGE CHEREHANI – ONDOENI KODI ASILIMIA 2 KWA WAKULIMA*   Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba Serikali kuiondoa kodi ya asilimia 2 kwa wakulima wa mazao nchini suala ambalo linakwenda kuwaathiri na kuongeza gharama kubwa kwa wakulima.   Akiongea Bungeni jijini Dodoma Mhe. Cherehani wakati akichangia Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha…

Read More

Watasumbua sana soko la usajili WPL  

LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imemalizika mapema wiki hii kwa Simba Queens kubeba taji la nne tangu kuasisiwa kwa michuano hiyo mwaka 2016, kuashiria kufungwa kwa msimu wa 2023-2024 na klabu kwenda mapumziko kujiandaa na msimu ujao wa 2024-2025. Ligi hiyo imeisha ikiacha gumzo kutokana na ushindani mkubwa uliokuwapo kwa klabu 10 shiriki na Simba…

Read More

Polisi Morogoro wafanya ukaguzi magari ya shule

Jeshi la Polisi mkoa Morogoro limewataka wamiliki wa Magari yanayobeba wanafunzi (School Bus) katika kipindi hiki cha likizo kuhakikisha magari hayo kuwa ni mazima kwaajili ya matumizi ya wanafunzi mara tuu shule zitakapo funguliwa. Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ASP) Pascal Mwakabungu akiwa na…

Read More

JKU yabeba ubingwa Ligi Kuu ya Zanzibar

MAAFANDE wa JKU imemaliza ubishi kwa kutwaa taji la Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), jana Ijumaa baada ya kutoka sare ya 1-1 na Kipanga, huku Zimamoto ikicharazwa mabao 2-0 na New City wakati ligi hiyo msimu wa 2023-2024 ikifikia tamati. JKU na Zimamoto ndizo zilizokuwa zikichuana kuwania ubingwa huo uliokuwa wazi baada ya waliokuwa wakishikilia taji…

Read More

Wachumi wauchambua muswada wa Sheria ya Fedha 2024/25

Dar es Salaam. Unaweza kusema mambo bado baada ya Muswada wa Sheria ya Fedha kwa mwaka 2024, kuwasilishwa bungeni ukiwa haujabeba masuala ambayo wengi walitamani yabadilishwe katika mapendekezo ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/2025. Zikiwa zimebakia siku chini ya 10 kabla ya mwaka mpya wa fedha kuanza Julai Mosi, matumaini ya wengi sasa yamebakia…

Read More

Musonda ashindwa kuvumilia, afichua siri nzito Yanga

MSHAMBULIAJI aliyemaliza mkataba na Yanga, Keneddy Musonda ameweka bayana sababu ziliyomfanya ashindwe kufanya vizuri ndani ya kikosi hicho, akidai ni presha kubwa iliyokuwa juu yake baada ya kuondoka kwa Fiston Mayele, kisha akatoa msimamo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi. Musonda alibaki Yanga akiwa mshambuliaji tegemeo baada ya kuondoka kwa Mayele aliyetimkia Pyramids ya…

Read More

Kitendawili cha usajili wa Lawi kinabana, kinaachia

SIMBA na Coastal Union wameingia kwenye mzozo. Msimbazi wamemtangaza Beki Lameck Lawi kama mchezaji wao mpya juzi usiku. Muda mfupi badae wenzao wakajibu kwamba siyo kweli, hawatambui usajili huo kwa madai kwamba kuna makubaliano walikubaliana wakati anasaini mkataba wa awali na hayajatekelezwa. Coastal Union wamesisitiza kusitisha  biashara hiyo na wekundu hao, kwa kile ilichoeleza kukiukwa…

Read More

Chama, Aziz Ki kuna jambo linaendelea Simba, Yanga

KUNA kitu kinaendelea ndani ya Simba na Yanga kuhusu usajili wa Clatous Chama. Chama amemaliza mkataba na Simba mwisho wa msimu uliopita, huku mazungumzo ya kumwongezea muda zaidi ndani ya Wekundu hao yakiwa hayana mwafaka zaidi ya kuzua makundi. Lakini huko Yanga, Mwanaspoti limeambiwa mabosi wa timu hiyo wanapigwa presha na mastaa wakiongozwa na Stephanie…

Read More