Admin

Mjadala wa bajeti 2024/2025: Sindano za moto zinazosubiri majibu

Dodoma. Wakati mjadala wa mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Sh49.35 trilioni kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ukielekea mwishoni, hoja kadhaa ndio zimeongeza joto la kuilazimu Serikali kujipanga kikamilifu kuzijibu. Hoja hizo zinaiweka Serikali kwenye kitanzi mbele ya watanzania kuona kama itasikiliza ushauri wa wabunge na kuziondoa kwa kuwa, zimelalamikiwa kuwa zinakwenda kuongeza makali ya maisha….

Read More

Waziri wa maliasili na utalii asisitiza uwepo wa ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuong’oa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikisha lengo la kuong’oa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona uhalisia wa utekelezaji wa…

Read More

SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI

Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Mhe. Edwin Swale kuhusu mpango wa Serikali kupeleka umeme wa REA kwenye Vitongoji, Mhe. Kapinga amesema Jimbo la Lupembe lina vitongoji 227 ambapo vitongoji 118 vimekwishapatiwa umeme na vitongoji 109 vilivyobaki Serikali pia itavipelekea umeme. Ameongeza kuwa, vitongoji 19 kati ya hivyo vitapatiwa umeme kupitia mradi wa…

Read More

Vijiji 16 kunufaika biashara ya kaboni Arusha

Arusha. Wananchi katika vijiji 16 vilivyopo Wilaya ya Longido mkoani Arusha wanatarajiwa kupata Sh33 bilioni kila mwaka kupitia utekelezaji wa mradi wa uvunaji kaboni. Mradi huo unahusisha kudumisha hatua za uhifadhi wa hekta milioni 2.4 hadi tani milioni 1.9 zenye thamani ya Dola za Marekani 12.7 milioni, sawa na Sh33 bilioni. Hayo yamebainika Juni 20,…

Read More