Admin

Majaliwa aeleza alivyofanya kazi na Nzunda

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Tixon Nzunda aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Juni 18, 2024. Nzunda (56) na dereva wake, Alphonce Edson (54) walipata ajali ya gari iliyotokea saa 8.30 mchana eneo la Njiapanda ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa…

Read More

HADITHI: Zindiko (sehemu ya 2)

LAKINI ukweli ni kwamba kijiji kilikuwa salama kwa sababu kila ambaye hakufika hapo alikuwa anaendelea na maisha yake. Lakini wapo watu wachache ambao kwa sababu zao walijaribu kuruka uzio kwa lengo la kulifikia jumba kwa malengo mbalimbali, waliishia kwenye kinywa cha joka hilo lililokuwa na kasi na nguvu za ajabu sana. Zamani wakati tukio hili…

Read More

Mmiliki mabasi ya Sawaya hatihati kupelekwa gerezani

Moshi. Wakati Mahakama ikilitupa ombi la mfanyabiashara, Rowland Sawaya la kuongezewe muda wa kukata rufaa, mdai katika shauri hilo amewasilisha ombi la kukazia hukumu, akitaka mdaiwa huyo afungwe gerezani kama mfungwa raia. Lengo ni kumweka gerezani hadi alipe Sh584.3 milioni zinazotokana na hukumu ya Mahakama Kuu Kanda ya Moshi ya mwaka 2004, iliyomuamuru kulipa Sh50.2…

Read More

Qatar yaendeleza juhudi za upatanishi Gaza – DW – 21.06.2024

Waziri wa mambo ya nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani amewaeleza waandishi wa habari wakati wa mkutano wa pamoja na waziri mwenzake wa Uhispania mjini Madrid kwamba juhudi za kutafuta usuluhishi zimeendeleabila ya kuingiliwa. Amesema wamekuwa na mikutano kadha na viongozi wa Hamas, kujaribu kuunganisha pande hizo mbili ili kufikiwa makubaliano yatakayochangia kusitishwa…

Read More

WAZIRI KAIRUKI ATOA WITO KWA NCHI WANACHAMA WA AFR100 KUWEKA MIFUMO YA UFUATILIAJI KATIKA KUONGOA MISITU ILIYOHARIBIWA

Na Happiness Shayo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ametoa wito kwa nchi wanachama wa Mkakati wa Kuongoa Ardhi na Misitu iliyoharibiwa takribani Hekta milioni 100 Barani Afrika (African Forest Restoration Initiatives – AFR100), kuweka mifumo ya ufuatiliaji na tathmini ya kielektroniki kuhakikisha lengo la kuongoa misitu hiyo linafikiwa kwa kuona uhalisia…

Read More