MILIONI 250 ZAIDHINISHWA UJENZI WA DARAJA LA KILOKA WILAYANI MOROGORO
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Serikali imeshaidhininisha kiasi cha shilingi Milioni 250 kwaajili ya ujenzi wa daraja la Kiloka linaounganisha kijiji cha Kiloka na vijiji jirani ambalo lilisombwa na maji ya Mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu nchini. Hayo yameelezwa na Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu Mhandisi Rogatus Mativila wakati wa ziara yake ya kikazi…