Wanyeche avunjwa ukimya, aitaja Lugalo
MSHINDI wa mashindano ya Gofu ya Alliance, yaliyofanyika wikiendi iliyopita mjini Morogoro, Enoshi Wanyeche ameweka wazi yeye ni mchezaji wa klabu ya Gofu ya Lugalo na sio Kili Golf ya Arusha kama alivyoripotiwa katika matoleo mawili ya gazeti hili. Akizungumza na Mwanaspoti jana asubuhi, nyota huyo alisema ni kweli amekuwa akifanya mazoezi na kuwepo mara…