Zenji ni JKU au Zimamoto ligi ikifikia tamati
LIGI Kuu Zanzibar kwa msimu wa 2023-2024 inafikia tamati jioni ya leo wakati zitakapopigwa mechi saba za kukamilisha raundi ya 30, ambapo bingwa mpya wa ligi hiyo anatarajiwa kufahamika rasmi, huku JKU ikijiweka pazuri mbele ya Zimamoto zikiwa timu pekee zenye nafasi ya kubeba taji. Awali, ligi hiyo ilitarajiwa kumalizika Juni 17, lakini kutokana na…