IDARA YA HABARI MAELEZO ZANZIBAR YAWAAGA WASTAAFU.
NA, SABIHA KHAMIS MAELEZO Mwenyekiti wa Bodi ya Idara Habari Maelezo Zanzibar Yussuf Omar Chunda amewataka wafanyakazi kuwa na nidhamu wanapokuwa kazini ili kuwajengea heshima wanapofikia kustaafu. Wito huo ameutoa katika hafla fupi ya kuwaaga wafanyakazi wawili wa Idara hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo amesema nidhamu inapodumu kwa mfanyakazi hupelekea mashirikiano mazuri kwa…