Sh2.2 bilioni kupunguza maumivu ukosefu wa ajira, Dar
Dar es Salaam. Wakati vilio vya kukosekana kwa ajira vikiendelea miongoni mwa vijana, benki ya Standard Chartered imepanga kutumia zaidi ya Sh2.2 bilioni katika utekelezaji wa programu ya uwezeshaji vijana kiuchumi ili kupunguza kukabili hiyo. Fedha hizo zitatumika katika kusaidia vijana kupata ujuzi ikiwa ni maandalizi ya kupata ajira na kusaidia usimamizi wa biashara ndogo…