Ibenge aifumua Azam FC, 10 wasubiri kambini
KOCHA wa Azam, Florent Ibenge, ameanza kufungua makali yake na sasa anatarajia kuwaacha wachezaji kadhaa waandamizi kwenye kikosi hicho. Ibenge mmoja kati ya makocha wakubwa Afrika, alijiunga na Azam baada ya msimu uliopita wa ligi kumalizika na tayari timu hiyo imeshaweka kambi ya…