Hoja za usalama, akili bandia kutawala mkutano wa IPU
Unguja. Hoja ya ulinzi, usalama na amani inatarajiwa kuchukua nafasi kubwa wakati wa mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani unaotarajiwa kufanyika Oktoba nchini Uswis. Mbali na hoja hiyo, mengine yanayotarajiwa kujadiliwa ni masuala ya akili bandia na mabadiliko ya tabaianchi. Akizungumza leo Juni 20, 2024 baada ya kukamilisha kikao cha Kamati Tendaji ya IPU, Rais…