Admin

WAZIRI WA AFYA AZINDUA MSD MEDIPHAM MANUFACTURING CO.LTD

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu amezindua Kampuni Tanzu ya Bohari ya Dawa inayoitwa MSD MEDIPHAM MANUFACTURING CO. Ltd., itakayosimamia viwanda vya kuzalisha bidhaa za afya, pamoja na kuzindua Bodi ya Usimamizi wa kampuni Tanzu hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Waziri Ummy Mwalimu amesisitiza kampuni tanzu hiyo kushirikisha wabia watakaokuwa tayari kushirikiana…

Read More

NIONAVYO Euro 2024 ni darasa kwa AFCON

ULAYA na dunia kwa sasa inashuhudia fainali za Kombe la Mataifa ya Ulaya ‘Uefa Euro 2024’ zinazoendelea Ujerumani zikishirikisha nchi 24 na sasa zimeingia raundi ya p[ili hatua ya makundi. Fainali hizi au European Championship Cup ni moja ya fainali kubwa duniani baada ya zile za Kombe la Dunia na zilianzishwa mwaka 1958, zikishirikisha mataifa…

Read More

Msemaji wa IDF asema Hamas haiwezi kusambaratishwa – DW – 20.06.2024

Vita vilivyodumu kwa zaidi ya miezi minane vilivyosababishwa na uvamizi usio kifani wa Hamas wa Oktoba 7 dhidi ya Israel vimeshindwa kuwaondoa wapiganaji hao kutoka Ukanda wa Gaza, lakini vimesababisha uharibifu mkubwa. “Kusema kwamba tutaifanya Hamas itoweke ni kutupa mchanga machoni mwa watu. Ikiwa hatutatoa njia mbadala, mwishowe, tutakuwa na Hamas,” Admiral Daniel Hagari alikiambia…

Read More

Hatua kwa hatua mauaji ya Milembe wa GGML

Geita. Shahidi wa 13 wa upande wa Jamhuri katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mfanyakazi wa GGML, Milembe Suleman (43) aliyeuawa Aprili 26, 2023 kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo kichwani, usoni na mikononi, ameeleza namna mauaji hayo yalivyofanyika. Shahidi huyo ambae ni askari wa kitengo cha upelelezi G4742…

Read More

BALOZI KASIKE AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA ATCL

Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe. Phaustine Kasike leo amemtembelea Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) Mha. Ladislaus Matindi na kufanya mazungumzo kuhusu fursa za usafiri wa anga kati ya Tanzania na Msumbiji. Viongozi hao wamekubaliana kuangalia uwezekano wa ATCL kutumia fursa hizo ili kutanua wigo wa biashara. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Makao…

Read More

Makipa janga timu ya taifa

Simba, Yanga na Azam, ni timu ambazo zimekuwa zikitawala soka la Tanzania kwa muda mrefu. Kuanzia mwaka 2008 ambapo Azam FC ilianza kushiriki Ligi Kuu Bara, timu hizi tatu pekee ndizo zimefanikiwa kubeba ubingwa wa ligi hiyo. Katika kipindi hicho cha misimu 16, Azam imebeba mara moja 2013-2014, huku misimu 15 wakigawana Simba na Yanga….

Read More

Tanzania yatangaza wa mkakati kuwalinda watu wenye ualbino – DW – 20.06.2024

Tamko hilo limetolewa kufuatia mauaji ya hivi karibuni ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novart ambaye mwili wake uliokotwa mkoani Kagera huku baadhi ya viungo vyake vikiwa vimenyofolewa. Hayo yanajiri wakati ambapo jeshi la polisi nchini humo likitangaza kuwa limewakamata watu tisa wanaotuhumiwa kwa mauji ya mtoto huyo.  Akizungumza bungeni mjini Dodoma, Waziri Mkuu wa Tanzania,…

Read More